<?xml version="1.0" encoding="UTF-8"?><song><title>Wamwendea Yesu Kwa Kusafiwa TZR80</title>
<lyrics>[V1]
 Wamwendea Yesu kwa kusafiwa,
 Na kuoshwa kwa damu ya kondoo?
 Je neema yake umemwagiwa,
 Tumeoshwa kwa damu ya kondoo?

[V2]
 Kuoshwa, kwa damu,
 Itutakasayo ya kondoo;
 Ziwe safi nguo nyeupe mno;
 Umeoshwa kwa damu ya kondoo?

[V3]
 Wamwandama daima mkombozi
 Na kuoshwa na damu ya kondoo?
 Yako kwa msulubiwa makazi,
 Umeoshwa kwa damu ya kondoo?

[V4]
 Atakapokuja Bwana -arusi
 Uwe safi kwa damu ya kondoo!
 Yafae kwenda mbinguni mavazi
 Yafuliwe kwa damu ya kondoo.

[V5]
 Yatupwe yaliyo na takataka,
 Na uoshwe kwa damu ya kondoo.
 Huoni kijito chatiririka
 Na uoshwe kwa damu ya kondoo?</lyrics>
<hymn_number>80</hymn_number>
</song>